July 12, 2018

Askari ajiua kwa risasi kisa mapenzi





KAMANDA wa Polisi Mkoani ya Mara Juma Ndaki amethibitisha kutokea kwa tukio la askari Polisi PC Nelson William G 3777 kujiua kwa kujipiga risasi kwasababu za wivu wa mapenzi.



Akizungumza na Michuzi Blog kwa njia ya simu leo jioni hii Kamanda Ndaki amesema askari huyo amejipiga risasi leo saa 8:30 mchana akiwa eneo la kambi za Polisi alikokuwa anaishi.



Amefafanua kabla ya kujipiga risasi ameacha ujumbe kuwa ameamua kujua kutokana  na wivu wa mapenzi kwa madai amekuwa hana mahusiano mazuri na mwanamke wake ambaye alikuwa ni mpenzi wake.



Kamanda Ndaki amesema askari huyo kabla ya kuchukua uamuzi huo aliingia pia kwenye malumbano na mpenzi wake baada ya kwenda kwenye chumba cha mpenzi wake na kisha kuamua kuharibu mali alizonunua.



Amesema baada ya tukio hilo la kuharibiwa mali mwanamke aliamua kwenda kutoa taarifa Polisi, kitendo ambacho askari William hakikumfurahisha kwani aliona kama amedhalilishwa.



Hivyo akaona njia pekee ni kuchukua uamuzi wa kujiua na ilipofika muda huo akaamua kujiua kwa kujipiga risasi.



Kamanda Ndaki alipoulizwa kama kuna mtu yoyote amekamatwa amejibu hakuna kwani askari ameacha ujumbe kuwa amejiua kwasababu hizo ambazo kimsingi ni wivu.



Amesema kwa sasa mwili wa askari huyo umehifadiwa chumba cha kuhifadhia maiti wakati taratibu za mazishi zikiendelea.



Alipoulizwa kama askari huyo alikuwa wakiishi akiishi pamoja na mpenzi wake huyo,Kamanda Ndaki amejibu hawakuwa wakiishi pamoja kwani mwanamke alikuwa ana chumba chake na askari alikuwa anaishi kambini.



TANZANIA HAINA DINI ILA WATU WAKE  WANA DINI ZAO


Kombe la Dunia 2018 Croatia 1-2 England: Mashabiki walivyosherehekea kuwashinda England nusufainali

Croatia's midfielder Luka Modric (C) and Croatia's forward Mario Mandzukic (R) celebrate after winning the Russia 2018 World Cup semi-final football match between Croatia and England at the Luzhniki Stadium in Moscow on 11 July 2018.
Mashabiki wa Croatia walisherehekea usiku kucha baada ya taifa lao kuwaondoa England kutoka kwa michuano ya Kombe la Dunia Urusi na kufuzu kwa fainali kwa mara yao ya kwanza kabisa, England waliomboleza.
Croatia walipata ushindi wa 2-1 baada ya mechi kumalizika sare ya 1-1 muda wa ziada.
Mashabiki walijaza uwanja ulio katikati mwa mji mkuu wa Croatia wa Zagreb wakiimba na kupeperusha bendera za taifa hilo. Baadhi walijitumbukiza hadi kwenye chemchemi za maji zinazopamba uwanja huo.

Presentational white space

Mabao yalivyofungwa

Kieran Trippier dakika ya 5 Croatia 0-1 England
Ivan Perisic dakika ya 68 Croatia 1-1 England
Mario Mandzukic dakika ya 109 Croatia 2-1 England

Presentational white space

Croatia ni taifa la watu milioni nne hivi na ni moja ya mataifa yenye idadi ndogo sana ya watu kuwahi kufika fainali Kombe la Dunia
Watakutana na Ufaransa katika uwanja wa Luzhniki mjini Moscow Jumapili kwa fainali saa tatu usiku saa za Afrika Mashariki.
England watakutana na Ubelgiji mechi ya kuamua atakayemaliza nafasi ya tatu, mechi ambayo itachezewa mjini St Petersburg.
Kwa Croatia kukiwa kicheko na shangwe, kwa raia wa England kulienda masikitiko, huzuni na majonzi.

Croatia's supporters celebrate a goal as they watch Croatia -V-England at the main square in ZagrebHaki miliki ya pichaAFP/GETTY IMAGES
Image captionMashabiki wakisherehekea Zagreb
Croatia supporters celebrate the second goal as they watch on a giant screen the Russia 2018 World Cup semi-final football match between Croatia and England, at the main square in ZagrebHaki miliki ya pichaAFP/GETTY IMAGES
Image captionMashabiki wengi walijitokeza Zagreb
Croatia's fans celebrate in Zagreb after Croatia beat England in semi-final of the 2018 World CupHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionMashabiki wakicheza kwenye maji kusherehekea katikati mwa mji wao mkuu Zagreb
Croatia President Kolinda Grabar-Kitarovic (L) offering a Croatia national football team jersey to British Prime minister Theresa May (R) at the NATO headquarters in BrusselsHaki miliki ya pichaAFP/GETTY IMAGES
Image captionRais wa Croatia Kolinda Grabar-Kitarovic (kushoto) alimpa waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May jezi ya taifa hilo wakati wa mkutano mkuu wa Nato mjini Brussels, Ubelgiji
Croatia's midfielder Luka Modric (C) and Croatia's forward Mario Mandzukic (R) celebrate after winning the Russia 2018 World Cup semi-final football match between Croatia and England at the Luzhniki Stadium in Moscow on 11 July 2018.Haki miliki ya pichaAFP/GETTY IMAGES
Image captionKiongo wa kati wa Croatia Luka Modric (kati) akiwa na Mario Mandzukic (kulia) wakisherehekea Luzhiniki, Moscow
A picture of Croatia fan Daniel holding a pint of beer and smiling
Image captionShabiki huyu kwa jina Daniel alisherehekea kwa kinywaji, na aliambia BBC kwamba "ushindi huo ni mkubwa mno" kwa taifa hilo ndogo
Presentational white space

Hali ilivyokuwa kwa England:

Walianza kwa matumaini baada ya bao kufungwa dakika za kwanza lakini baadaye wakavunjwa moyo.

Presentational white space
Fans console each other at London's Hyde ParkHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionNdoto kwisha: Mashabiki wakifarijiana katika bustani maarufu ya Hyde Park jijini London
Castlefield Bowl, ManchesterHaki miliki ya pichaPA
Image captionShabiki mdogo wa England akiliwazwa Castlefield Bowl, Manchester
Presentational white space

Katika bustani ya Hyde Park, London, takriban mashabiki 30,000 walifika kutazama England wakicheza nusufainali, mkusanyiko mkubwa wa watu London kutazama mchezo wa kandanda tangu Euro 96.

A fan cheers ahead of the semi-final in RussiaHaki miliki ya pichaAFP
Image captionShabiki huyu labda alizidi katika kusherehekea kabla ya mechi Urusi
An England supporter cheers next to Croatia fans before the match in the city centreHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionShabiki wa England akisherehekea karibu na shabiki wa Croatia kabla ya mechi Urusi
The crowd at Hyde ParkHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionMaelfu ya mashabiki Hyde Park kabla ya mechi kumalizika
Presentational white space
Fans at Hyde Park, LondonHaki miliki ya pichaEPA
Image captionWakati wa muda wa ziada Hyde Park
Tearful supporters in ManchesterHaki miliki ya pichaPA
Image captionMashabiki wa England wakitokwa na machozi Manchester
Manchester
Image captionManchester wakisherehekea baada ya England kufunga bao la kwanza
Devastated fans on Brighton BeachHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionMashabiki wakitokwa na machozi Brighton Beach
Fans in Harry Kane masks in BrightonHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionMashabiki waliovalia barakoa za Harry Brighton Beach
Presentational white space
A fan at Hyde ParkHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionShabiki wa England, Hyde Park
Supporters at Nottingham CastleHaki miliki ya pichaPA
Image captionMashabiki walivyokuwa wakisherehekea awali Nottingham Castle
Lily Harkin, eight, at Nottingham Castle
Image captionLily Harkin mwenye miaka minane alikuwa ameandika mgongoni mwa Cole Bryceland, Nottingham kwa matumaini, 'Kombe linarejea nyumbani', lakini baadaye 'England walirejea nyumbani' bila kombe
Supporters in Millennium Square, LeedsHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionRoho mkononi Millennium Square, Leeds
A fan in Hyde ParkHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionMasikitiko Hyde Park

Mada zinazohusiana




ATEKULA UGALI KWA MIKONO MIWILI ATAKIONA AGGREY MWANRI