MAGAZETI MATATU YA PEWA ONYO NA BUNGE LA TANZANIA
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limetoa onyo kali kwa magazeti na Wahariri wa gazeti la Mtanzania, Mwananchi na Nipashe kwa kosa la kuchapisha na kusambaza mwenendo wa shauri lililokuwa likifanyiwa kazi na Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge
Post a Comment