Mshike mshike wa kuwania ubingwa ligi kuu ya England utaendelea tena leo
Mshike mshike wa
kuwania ubingwa ligi kuu ya England utaendelea tena leo kwa mchezo mmoja
kupigwa vinara wa ligi hiyo Chelsea watakua katika uwanja wao wa
nyumbani kuwaalika watakatifu wa Southampton.
Nahodha wa Chelsea Gary Cahill anatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi baada ya kurejea mazoezi baada ya kupona tatizo la tumbo .
Diego
Costa na Eden Hazard wanatarajiwa kuanza katika mchezo huu baada ya
kuanzia bechi katika mchezo wa kombe la FA dhidi ya Tottenham wikiendi
iliyopita
Post a Comment