Header Ads

marufuku mtoto kucheza kamali za kichina




Image result for picha ya mashine za kichina za kamali


mwenye kiti wa mtaa wa miogoni kata ya mbugani erick shabani ametoa onyo kali kwa wazazi na walezi kwakoto kuwapa hela ya kuchezea kamali

mwenyekiti huyo aimeiambia KALI ZOT BLOG kuwa wazazi na walezi ndio chanzo cha watoto wenye miaka ya chini ya miaka kumi nane 18 kucheza kamali kuwa wanawapa watoto hela ya kula shule baada yake hao watoto wanatumia kucheza kamali za kichina

aidha amewataka wazazi na walezi kuwa chunga watoto wao pia amewapa onyo wa simamizi wa mashine hizo za kamali kut0 ruhusu watoto kucheza kamali  nakusema kuwa endapo anamkuta mtoto hatua za kisheria zitafata


No comments