Header Ads

wananchi mkoani Tabora kuzingatia masuala ya elimu

Image result for KKKT

wananchi mkoani Tabora na
Tanzania kwa ujumla wametakiwa kuzingatia masuala ya elimu kwa lika zote bila
kujali kwa kuwa elimu haina mwisho.

Hayo yameelezwa na askofu
Isack Sirilaiza wa kanisa la KKKT dayosis ya magharib kati katika ibaada ya
kutunukiwa shahada ya udhamivu iliyofanyika katika kanisa la KKKT Tabora ambapo
amesema elimu haijali umri wa mtu badara yake watu wote wanapaswa kuingia
katika mifumo inayotoa elimu ili kujifunza zaidi.




Akitunukiwa shahada hiyo
ya tatu na mkurugenzi wa chuo cha Japani bible institute tawi la Afrika bwn Paul
Shemsanga  askofu sirilaiza amewashukuru
viongozi wote wa serikali na kuahidi kushirikiana katika kutoa huduma za kiroho
na kimwili kwa kutumikia wadhifa wake pamoja na elimu yake.

NILIANGUKA NA UNGO WA KICHAWI  KANISANI


No comments