Nani alihusika katika shambulio la kirusi cha mtandaoni
Nani alihusika katika shambulio la kirusi cha mtandaoni ambacho kiliathiri kompyuta katika zaidi ya mataifa 150 duniani, zik...Read More
Mzozo mpya umeibuka kati ya tume huru ya uchaguzi nchini Kenya,
Mzozo mpya umeibuka kati ya tume huru ya uchaguzi nchini Kenya, na vinara wa mrengo wa u...Read More
Tahadhari dhidi ya Ebola
Shambulio la mtandaoni duniani ambalo limesababisha kutekwa kwa mafaili katika kompyuta linaonekana kupungua kuanzia jana Jumatatu wa...Read More
Donald Trump amefichua taarifa za siri
Gazeti la Washington Post limeripoti kwamba rais Donald Trump amefichua taarifa za siri kuhusiana na wanamgambo wa Dola la Kiislamu kw...Read More
dunia ya kia mwisho
Mwanamke ajioa baada ya kukosa mchumba Mwanamke mmoja ambaye anaugua saratani ya matiti amejioa mwenyewe baada ya kusubiri mc...Read More
Marekani yaituhumu Syria kwa kuchoma wafungwa gerezani
Marekani imeituhumu serikali ya Syria kwa kujenga sehemu ya kuchoma maiti katika jela ya kijeshi iliyopo karibu na Damascus ili kuficha...Read More
wajua kifua kikuu kina uwa
Kifua Kikuu (Tuberculosis) ni ugonjwa wa kuambukiza, ambao mara nyingi hushambulia mapafu. Ugonjwa huu unachukua nafasi ya pili ya m...Read More
Majaji wawili wa Mahakama Kuu waacha kazi
Majaji wawili wa Mahakama Kuu waacha kazi Haki miliki ya picha Ikulu, Tanzania ...Read More
Mchezaji wa akiba Cesc Fabregas alifunga goli katika dakika ya 88
Mchezaji wa akiba Cesc Fabregas alifunga goli katika dakika ya 88 wakati mabingwa wapya wa ligi kuu ya England, Chelsea, walipowa...Read More
ALIYEKUWA Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima, ametishiwa kufyatuliwa risasi na askari polisi.
ALIYEKUWA Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima, ametishiwa kufyatuliwa risasi na askari polisi. Hili ni tukio la pili kutokea baada ya a...Read More
WANAWAKE wawili wameuawa
WANAWAKE wawili wameuawa kikatili kwa kushambuliwa na mashoka na waume zao wa ndoa katika matukio mawili tofauti yaliyotokea mkoa wa Rukw...Read More
Merkel, Macron waazimia kuimarisha ushirikiano
Rais Emmanuel Macron na Kansela Angela Merkel mjini Berlin Ziara ya Rais Emmanuel Macron mjini Berlin jana jioni ...Read More
Ujerumani huenda ikaondoa wanajeshi wake
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesema Ujerumani inaweza kuondoa wanajeshi wake waliopo Uturuki iwapo Uturuki itaendelea kusisitiza k...Read More
Juventus yatinga fainali Monaco
Klabu ya Juventus kwa mara ya pili imefuzu katika fainali ya kombe la vilabu bingwa Ulaya baada ...Read More
Uhuru wa vyombo vya habari haujakmatukioomaa
Kila mwaka, tarehe 3 Machi, dunia inaadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari. DW inaangalia hatua zilizopigwa na changamoto zilizo...Read More
“Professa Jay” ameitaka timu yake ya Simba kuweka nguvu zaidi katika fainali ya kombe la shirikisho kuliku kombe la ligi.
Legendari wa Muziki wa kizazi kipya nchini na Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule , Legendari wa Muziki wa kizazi kipya , Jose...Read More
Baraza la Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limeidhinisha uamuzi wa kulipatia bara la Afrika nafasi tisa timu
Baraza la Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limeidhinisha uamuzi wa kulipatia bara la Afrika nafasi tisa timu zinazoshiriki f...Read More
Mmoja wa wasichana wa Chibok waliotekwa na wapiganaji wa Boko Haram nchini Nigeria ameamua kusalia na mumewe badala ya kuachiliwa huru
Mmoja wa wasichana wa Chibok waliotekwa na wapiganaji wa Boko Haram nchini Nigeria ameamua kusalia n...Read More
Trump amfuta kazi James Comey
Ikulu ya Marekani ya White House imetangaza jana kwamba rais Donald Trump amemfuta kazi mkurugenzi wa shirika la uchun...Read More
Msanii wa muziki, Rama Dee amedai kauli yake “Hanscana ni muongozaji mkali wa video kuliko Adam Juma” siyo kama alimkosea heshima muongozajii huyo mkongwe wa video za muziki.
Muimbaji Rama Dee Muimbaji huyo amedai alitaka kumwambia ukweli muongozaji huyo ili kama anaweza kubadilka abadilike. “Sik...Read More
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha ( RPC ), Charles Mkumbo amesema wanamshikilia mmiliki wa basi dogo aina ya Coaster ambayo ilipata ajali na kusababisha vifo kwa wanafunzi, walimu na dereva wa shule ya siku ya Lucky Vincent Jumamosi huko Karatu, Arusha.
RPC Mkumbo amedai wanamshikilia mmiliki wa shule hiyo kwa kuruhusu gari yake hiyo kubeba abiria wengi zaidi kuliko uwezo wa gari. &q...Read More
Monaco ina kibarua kigumu dhidi ya Juve
Ni timu zipi zitaelekea Cardiff kwa fainali ya Champions League barani Ulaya, swali hilo linaanza kupatiwa jibu leo wakati mko...Read More
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)