Header Ads

Leo March 17 2017 Mbunge wa jimbo la Mikumi na msanii mkongwe wa Bongo fleva Joseph Haule a.k.a Professor Jay ametuletea hii video yake mpya inayoitwa “Kibabe” ukimaliza kuitazama usiache kudondosha comment yako kuhusu mdundo huu ili baadae Prof Jay mwenyewe apite kuzisoma kwa pamoja….



No comments