Zoezi la uainishaji viwanja mkoani shinyanga bado changamoto
Zoezi la uainishaji viwanja katika vitongoji vya Bugweto B na Mwagala A katika kata ya Chamaguha Manispaa ya Shinyanga ambalo liliingia dosari limefanyika leo chini ya Maafisa wa idara ya ardhi.
Wakati zoezi hilo likiendelea Wananchi wameiomba ofisi ya idara ya Ardhi katika Manispaa ya Shinyanga kuendesha zoezi hilo kwa haraka, uwazi na asawa ili kuepusha migogoro.
Zoezi hilo lilisitishwa na Afisa wa idara ya ardhi kwa madai kuwa hali ya hewa ya mvua haikuruhusu kutokana na tope, hali ambayo ilizua tafrani kwa wananchi ambao hawakuridhika na sababu zilizotolewa wakieleza kuwa hazikuwa za msingi wowote
Post a Comment