Ratiba ya robo fainali ya UEFA Europa League 2016/2017
Hii hapa droo ya robo fainali ya UEFA Europa League imefanyika leo March 17 2017, kwa timu nane ambazo zilifanikiwa kufuzu hatua hiyo ikiwemo KRC Genk inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta.
Timu saba nyingine ambazo zilizofanikiwa kuingia hatua ya robo fainali ya UEFA Europa League ni Anderlecht, Man United, Lyon, BeÅŸiktaÅŸ, Ajax, Schalke na Celta Vigo, michezo ya kwanza ya robo fainali ya UEFA Europa League itachezwa April 13 na marudiano ni April 20.
Ratiba ya robo fainali ya UEFA Europa League 2016/2017
Post a Comment