Rose Muhando leo amejiunga na Chama Cha Mapinduzi
Muimbaji wa nyimbo za Injili, Rose Muhando leo amejiunga na Chama Cha Mapinduzi mbele ya Mkutano Mjuu wa 9 wa chama hicho.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho wa Ndg, Humphrey Polepole amethibisha hayo wakati akimkaribisha Muimbaji huyo katika ukumbi huo kutoa burudani.
"Mh. Mwenyekiti wa muda , ndugu yetu Rose Muhando pamoja na kundi lake wamekuja na maombi mawili, moja ni kuimba wimbo maalumu kwa ajili ya Rais lakini ombi la pili ni kujiunga na CCM, hivyo wataimba alafu watazungumza kisha nitawakabidhi kwa Makatibu kwa ajili ya utaratibu" Polepole
Post a Comment