Cristiano Ronaldo akiwa kwenye show ya Jennifer Lopez Las Vegas
Mshambuliaji wa Ureno Cristiano Ronaldo ambaye hivi sasa yupo likizo baada ya michuano ya Euro 2016, July 24 2016 alioneka akiwa Las Vegas, Marekani kwenye show ya Jennifer Lopez.
Ronaldo ambaye wiki kadhaa alikuwa katika fukwe za Ibiza, Hispania na familia yake akiwa katika boti ya kifahari, July 24 ameonekana akiwa na rafiki yake waki furahia katika show ya J.Lo kwa sasa Ronaldo bado anauguza jeraha lake la goti.
Video Ronaldo akiwa katika show ya J.Lo huko Las Vegas, Marekani
Post a Comment