UMUHIM WA kukatika kitandani
Sio siri licha ya kuwa na pilika nyingi mchana kutwa lakini unapoingia usiku hasa kwa wale wanao ishi na wenza wao ni vyema kufarijiana kwa njia hii, ili kuchangamsha mwili na akili kwani kujua kupika na usafi ni mambo ya kawaida lakini katika nyanja za usiku inabidi uwe fundi na ndio maana KALI ZOTE BLOG
![]() |
imeamua kukujuza ni jinsi gani unaweza kutaka ili kuwa kivutio au uaridi kwa mumeo kwa wenye waume na wale ambao hawajajaliwa kupata ndoa lakini ndo wanatarajia kufanya hivyo, sasa hakuna mpango wa mji kama huu mwanadada;![]() |
Jinsi ya Kukata Kiuno; Usikurupuke mwanadada inabidi ukate kiuono kwa mazoea kwa kufuata utaratibu huu ambao unakuelekeza; kwanza Simama wima ukiwa hauna nguo mbele ya kioo ndo itakusaidia vizuri maana kukata kiuono ukiwa umevaa nguo zinaweza kukudanganya,sasa hapa weka mikono yako tumboni alafu sukuma tumbo lako mbele litunishe halafu baki hivyo kwa muda kidogo halafu lirudishe kwa ndani na ubaki tena kwa sekunde chache,hapo inabidi urudie tena huku umebana pumzi na mdomo wazi ambayo itasaidia kukazamisuli ya tumbo,kubadilisha mirindimo (polepole, haraka, chap-chap,kugandisha mpaka utakapo hisi tumbo lako linatetema.

Post a Comment