Header Ads

Picha!! Ajali ya Gari Kwenye Msafara wa Waziri wa Sheria na Katiba Dr. Harrison Mwakyembe


 
Msafara wa waziri wa sheria na katiba Dr. Harrison Mwakyembe jana ulipata ajali baada ya gari lililokua limembeba Mkurugenzi wa mashtaka na makosa ya jinai DPP Biswalo Mganga kupinduka katika kata ya Bwanga wilayani Chato wakitokea mkoani Geita. 


Imedaiwa chanzo cha ajali hiyo ni dereva kujaribu kuwakwepa watoto wawili waliokuwa wakikatiza barabara ghafla, taarifa zinadai kuwa katika ajali hiyo hakuna vifo wala majeruhi.

 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0742692079

No comments