VideoMPYA: Unakaribishwa kuitazama hii video mpya ya Jux ‘Wivu
July 15, 2016 ndio msanii wa bongofleva Jux ameiachia hii video mpya ya‘Wivu’ bonyeza play kuitazama hapa chini kisha achia comment yako Jux akipita baadae ajue watu wake wanasemaje.
Habari na Burudani
Post a Comment