Video mpya ya Darassa ‘Too much’ Shilole, Lina na wengine ndani
Rapper kutoka Bongoflevani, Darassa anayetamba na wimbo uitwao Kama Utanipenda aliyomshirikisha Rich Mavoko , sasa leo July 16, 2016 ameachia rasmi video yake mpya iitwayo Too Much imetayarishwa na director Hanscana.
Post a Comment