Header Ads

SEHEM ZURI YA KUMKUNA MWANAMKE




Tafuta mda iwe sehem tofaiti mbali ili yeye na wewe muwe na uhuru 




Tafuta sehem tulivu ,sababu ya kutafuta sehem ya mbali na tulivu ni kutokana na huyo mwanamke aliyekuvutia ukampenda huwezi jua labda ana mwanaume mwingine hivyo anahitaji sehem tofauti atakayojiskia kuwa yupo free



[​IMG]




Then mkikutana usiwe muoga,mnunulie kinywaji or nk....akikataa usimlazimishe then pendelea kujua anapenda nini na kipi hapendi ,usiogope kumwambia ukweli,then wengi wanasema kuwa uongo ndio silaha ya kumdaka mtoto wa kike lakini si kweli...penda kuwa mkweli kuhusu maisha yako usiwe mwongo kwani uongo utakuja kukufunga huko baadae,usijifanye una pesa ,jifanye wewe ni wa kawaida,,kuwa mcheshi kwani wadada wanapenda wanaume watakaowafanya wafurahi mda wote..then mchunguze tabia yake japo sio rahisi kuijua siku ya kwanza lakini ni kitu muhim kwa mapenzi yenu ya baadae msije mkaja shindwana ...mwelezee ukweli wa maisha yako itakusaidia 


.

Nb..kama unapenda wanawake wazuri wa njia za short curt au wa show time...wewe jifanye una hela azima gari viwalo honga ada ya chuo au kamshahara utawapata lakini utaishia kuishi nyumba za kupanga na kuvaa suruali mtoboko matakoni
 lakiniii mwanamke wa kweli ,na wa ndoto za maisha yako hapatikani kwa uwongo kama wengi wanavyofanya mwishowe wanaangukia na pua


Mw@namke wa maisha yako mwelezee ukweli wa maisha yaki na mwambie kweli unampenda over




No comments