Header Ads

Msanii Msaga Sumu haja na hii

Msanii Msaga Sumu ambaye anajulikana kama Mfalme wa Uswazi, ametoa Video ya wimbo unaitwa “Unanitega Shemeji”. Akiwa amemshirikisha Dogo Ninja. Video imeongozwa na Kilonzo.


No comments