Header Ads

RAMA AJA KIVINGINE


Muziki wa Singeli unazidi kwenda mainstream. Je! Unasikikaje muziki huo unapochanganywa na ladha ya RnB tena kutoka kwa muimbaji hodari kabisa wa muziki huo? Just beautiful. Tazama video ya wimbo huu mpya wa Rama Dee ‘Mazoea’ aliomshirikisha msanii chipukizi wa Singeli, Young Yuda. Video imeongozwa na Kasampaida.

No comments