Header Ads

Rama Dee aeleza kwanini ameikubali sana Singeli

“Walishangaa sana kwamba nawezaje kufanya vile kwasababu mimi nasound tofauti kidogo halafu muziki unasound Kiafrika kwahiyo nimechanganya kiasi kwamba mpaka sound imetoka nzuri sana,” anasema.
“Kwahiyo wanapenda sana.”
Anadai pia ameshangaa kuona watanzania wanaupenda muziki huo na kwamba ni vyema wakaupa support kwasababu ndio future.
Kwa upande mwingine mkali huyo wa rnb amesema Young Yuda aliyemshirikisha ni msichana na sio 
mvulana 

 VIA BOGO 5

No comments