Header Ads

Video: Akothee – Yuko Moyoni


Baada ya kusambaa kwa picha mbalimbali katika mitandao ya kijamii zikimuonyesha msanii wa muziki wa Kenya, Akothee akiwa ndani ya shela la ndoa, Jumamosi hii ameachia video yake mpya ya wimbo ‘Yuko Moyoni’. Video imeongozwa na director Godfadher kutoka Afrika Kusini.


No comments