WADAU WA CHANGIA MADAWATI SHULE YA MSINGI KIZUMBI
shule ya msingi kizumbi
KIKUNDI cha kuweka na kukopa fedha katika kata ya KIZUMBI kwa kushirikiana na wanakijiji wa eneo hilo wametoa madawati 13 katika shule ya msingi ya kizumbi iliopo katika kijiji cha bugaya mbelele manispaa ya shinyanga
akifungua katika hafra ya kukabidhi madawati hayo afisa mtendaji wa kata ya kizumbi DAVID ONG WASHI amewaomba wadau wengine kujitolea kuchangia maendeleo ya shule hiyo
AFISA MTENDAJI WA KATA YA KIZUMBI DAVID ONG WASHI
MWalim mkuu wa shule ya msingi kizumbi NEEMA MKANGA ameshukuru kwa msaada huo na kuomba wadau wengine kuendelea kuchangia ili kumaliza tatizo la madawati SHULENI HAPO Kwani shule hiyo inamapungufu ya madawati 76 na yaliopo ni madawati 73 pekee
MWALIM MKUU KIZUMBI NEEMA MKANGA
akipokea msaada huo diwani wakata ya kizumbi RUBENI KITINYA amewashukuru wanakijiji pamoja na kikundi cha UMAKA kwakujitolea msaada wa madawati kwani hatua hiyo itasaidia kuboreshamazingira ya wanafunzi kujifunzia
DIWANI WA KIZUMBI RUBENI KITINYA
wana kijiji wa kizumbi
wana kijiji cha kizumbi
aidha wanafunzi washure ya msingi kizumbi wameshukurub kwa msaada huo na kusemakuwa hatua hiyo itawasaidia kuboresha mazingira ya shule na kuinua kiwango cha ufauru shureni hapo
WANAFUNZI WA KIZUMBI SHULE YA MSINGI
WANAFUNZI WA KIZUMBI SHULE YA MSINGI
afisa mtendaji wa kata YA KIZUMBI WEMA MASHAKA
MWALI ALIEKUWEPO KWENYE TUKIO
Post a Comment