MAJAMBZA 12 WANAO TIKISA TABORA WAMEKAMATWA
Watu saba wanashikiliwa na
jeshi la polisi mkoani Tabora kwa makosa tofauti ikiwemo kutengeneza pesa bandia na wizi wa rangi.

Akitoa taarifa hiyo kwa
wanahabari Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora Kamishna msaidizi wa polisi
EMANUELI NLEY amewataja watuhumiwa
waliotiwa mbaroni kwa kosa la kutengeneza pesa za bandia ambao ni wakazi wa
tabora Mbeya na songwe

Aidha kamanda nley amesema
kuwa wamefanikiwa kuwakamata waalifu hao saba pamoja na vielelezo wanavyotumia
kufanya uhalifu huo,huku akisema kuwa watuhumiwa hao wamekatatwa na karatasi
saizi ya noti ya elfu kumi, madawa pamoja na cyringe

Insert
Amezitaja mbinu walizokuwa
wakitumia watuhumiwa hao kuwa ni kuwadanganya wananchi kuwa wanazalisha pesa,na
kuwataka kutoa pesa kubwa kwa ajili ya
kuwazalishia pesa yenye thaman zaidi.

Katika hatua nyingine
kamanda Nlei ametoa wito kwa wananchi wa mkoa wa tabora kutoa taarifa kwa jeshi
la polisi pindi wanapoona matukio ya kihalifu huku akiwashukuru baadhi ya
wananchi wanaoshirikiana na jeshi hilo

Post a Comment