Header Ads

MWIZI WA KUKU ATAFUTWA


Image result for JONGOO MWIZI WA KUKU


Mwenye kiti
wa mtaa wa kiyungi kata ya kitete mkoani tabora ameliomba jeshi la polisi
kudumisha ulizi katika mtaa wakeili ili ualifu upungue.

Akizungumza
na redio uhai fm mwenye kiti wa  mtaa huo
bi BETI KICHENYENGE amesema kuwa
kwasasa uharifu umekithiri katika mtaa huo hivyo anaomba jeshi la polisi
kufanya doria ya mara kwa mara katika mtaa huo ili kudhibiti waharifu.




Amesema  kwa sasa mifungo kama kuku ,bata wamekuwa
wakiibiwa kila mar na kwamba hari ya usalama siyo nzuri hivyo kuliomba jeshi
hilo   

MAJAMBAZI SUNGU 12 WAKAMATWA MKOANI TABORA





No comments