Header Ads

hatimaye bwana ALEX STEVINI leo amefanikiwa kuibuka mshindi wa nafasi ya mwenyekiti wa soko kuu mjini shinyanga dhidi ya mpizani wake SWAREMANI ABEDI

hatimaye bwana ALEX STEVINI leo amefanikiwa kuibuka mshindi wa  nafasi ya mwenyekiti  wa soko kuu  mjini shinyanga dhidi ya mpizani wake SWAREMANI ABEDI

 

uchaguzi huo umefanyika katika soko hilo majira ya  saa kumi jioni ambapo wafanyabiashara hao wamemchagua pia bwana  MICHAEL MKUMBO kuwa katibu, matanga matanga kuwa mhasibu. 
kwa upande mwengine nafasi ya katibu msaidizi kwa bi chiku sisu ,mhasibu msaidizi na EVA LUBEBE huku bwana WILE NGASEKA na bwna GOD KELEO wameibuka kwa nafasi ya makamanda wa soko hilo

wafanya biashara hao wamesema wahaoni tija ya kumbadilisha kiongozi wa soko hilo kwani kiongozi alierudishwa madarakani wanamwamini kwani amedum kwa miaka 8 sasa tangu achanguriwe sokoni hapo, kwani soko hilo lime azishwa mwaka 1979 lakini kiongozi huyo amewazidi viongozi walio pita sokani hapo



naye afisa biashara wa manispaa ya shinyanga SUDAY DEOGRATIAS amewataka wafanya biashara hao kuwapa ushirikiano wakutosha viongozi wao huku akiwaasa viongozi hao kushirikiana na viongozi wa manispaa ili kuleta tija ya maendereo sokoni hapo


wakati huo huo mwenyekiti huyo BWANA ALEX STEVINI  amewataka wafanya biashara hao kushirikiana naye  hatua kwa hatua ili kufanikisha zoezi la uboreshaji wa huduma kwenye soko  kwani peke yake hato weza 

KWA HABARI/USHAHIRI/TANGAZO/USHAURI WA SILIANA NASI KWA NAMBA YA WHATSSAP /O742692079

No comments