Header Ads

Nyota wa Sweden Zlatan Ibrahimovich ametangaza kwamba atastaafu katika soka ya kimataifa baada ya michuano ya Euro 2016.

Ibrahimovic kustaafu soka ya kimataifa

Image copyrightEPA
Image captionIbrahimovic
Nyota wa Sweden Zlatan Ibrahimovich ametangaza kwamba atastaafu katika soka ya kimataifa baada ya michuano ya Euro 2016.
Taifa lake linakutana na Ubelgiji katika mechi ya mwisho ya kundi E siku ya jumatanoambayo huenda ikawa mechi yake ya mwisho kwa taifa lake.
Alisema:Ninajivunia kile nilichofanikiwa kupata na kila mara nitatembea na bendera ya Sweden.
Klabu ya Manchester United imehusishwa pakubwa na mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34 ambaye alikuwa ajenti huru baada ya kuondoka klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa

No comments