Header Ads

Msanii wa Bongofleva Vanessa Mdee wakati akiojiwa na KALI ZOTE BLOG LEO amesema kuwa jina lake limeingia kwenye headlines baada ya kutajwa katika moja kati ya tuzo kubwa Nigeria Entertainment, Vanessa ametajwa kuwania tuzo zinazoitwa Nigeria Entertainment Awards.




Msanii wa Bongofleva  Vanessa Mdee   wakati akiojiwa na KALI ZOTE BLOG LEO   amesema kuwa jina lake limeingia kwenye headlines baada ya kutajwa katika moja kati ya tuzo kubwa Nigeria EntertainmentVanessa ametajwa kuwania tuzo zinazoitwa Nigeria Entertainment Awards.

Jina la muimbaji Vanessa Mdee limetajwa katika kipengele cha kuwania tuzo ya muimbaji bora wa kike, katika kipengele hicho Vanessa anawania tuzo hiyo na wasanii wengine saba kutoka nchi mbalimbali, Nigeria Entertainment Awards zitafanyika New York Marekani, September 4 2016. 

VAnesa nimsani wakike ambae mpaka sasa ana tunzo 12
najisi ya kumpigia kura vanesa mdee unaweza kumfollo kwenye facebok.instagram,  au ukaingia kwenya google andika WW N,E,A WAORD. NAIJERIA HAPO UTAKUWA UMEMPIGIA KURA VANESA MDEE 


WASILIANA NASI KWA NAMBA O742692079


ADVERTISEMENT


 

No comments