Header Ads

MTANGA KUSOMA AZAM MWAKA 1998 UP TO 2001

Image result for picha za mtanga




katika kipindi cha skonga mabacho kina luka EATV KHAMISI AU JINA MAARUFU MTANGA 
 alisema kuwa alisomea shule ya secondari ya AZAM SECONDARY MWAKA 1998 MPAKA MWAKA 2001 nipo alimaliza elim yake ya secondary

alisema zamani watu ndo walikuwa vichwa kulikosasa kwakua sasa kuna mitandao ya  kijamii ambayo inawalemaza wanafunzi kuliko zamani mitando ilikuwepo sikama sasa hali inayo mpelekea wanafunzi kuto kufanya vizuri kwakuwa mda mwingi anakuwa kwenye mitandao kuliko kwenye masomo 
 
mtanga kipindi anasoma hapo azam sekondari yeye alikuwa ana kaa buguluni na kipindi hicho mwanafunzi alikua athaminiwi kuliganishwa na sasa kwani mda mwingine alikuwa anacherewa shureni na kufikia kichapo
 
katika kipindi hicho matnga aliulizwa kuwa ulikua kichwa darasani au kilaza akasema alikua kichwa yani alikuwa vizuri kwenye masomo ya darasani
 
mtanga alisema katika maisha yake hawezi  kumsahau mwailim LUBANGI  ALISEMA mwalim huyo alikuwa mlokore kwa sababu alikua ana chezee makozi sana toka kwa mwalim huyo
topic ambayo mtanga anaipenda sana wakati alipokuwa darasani ni REPRODUCTIO

No comments