Ubelgiji yatinga robo fainali Euro 2016
Ubelgiji yatinga robo fainali Euro 2016
Katika michuano ya Euro 2016 nchini Ufaransa, Ubelgiji imeichabanga Hungary 4-0 na kufanikiwa kuingia katika hatua ya robo fainali ya michuano hiyo.Mapema Ujerumani waliichapa Slovakia 3-0 huku wenyeji Ufaransa wakishinda 2-1 dhidi ya Jamuhuri ya Ireland. Michuano hiyo itaendelea tena leo ambapo mabingwa wa zamani wa dunia Italia watapambana na miamba ya soka Uhispania huku mtanange mwingine ukiwa baina ya England dhidi ya Iceland
Post a Comment