THE GAME AVUTA GANJA STUDIO
Akifanya mahojiano na kipindi cha Breakfast Bars, The Game alirap, “I throw it all the way up. Drinking Ciroc till I throw all the way up / Westside in the air, put it all the way up.” Aidha wimbo wa ‘All The Way Up’ umeendelea kufanya vizuri kitu kilichowavutia mastaa kadhaa kuombakuufanyia remix wimbo huo akiwemo, Jay Z na Meek Mill.
The Game amekuwa kimya kwa muda mrefu japo mwezi Juni ameachia wimbo wake ‘Roped Off’ lakini bado umeonekana kutofanya vizuri tofauti na nyimbo alizowahi kuachia huko nyuma.
Post a Comment