DAIMONDI KUTOA WIMBO NA PAPA WEMBA
gend wa muziki wa dansi Afrika Papa Wemba daima hatosaulika katika muziki wa Dansi. Kwa sasa ameshatangulia mbele za haki lakini huu ni wimbo aliofanya na Diamond Platnumz wiki chache kabla ya kufariki. Wimbo unaitwa ‘Chacun Pour Soi’.
Post a Comment