Header Ads

Magufuli hula chakula kilichopikwa tu na mkewe

Magufuli hula chakula kilichopikwa tu na mkewe


Image copyrightSTATEHOUSE TANZANIA
Image captionJohn Magufuli
Baada ya kutambuliwa kama mtu mwenye msimamo mkali na asiyependa dhihaka, mabaye huwafuta watu hadharani, huenda sasa Rais wa Tanzania John Magufuli ana maadui wengi.
Sasa akiwa ikulu na kama njia ya kuchukua tahadharia, inaripotiwa kuwa Magufulu hula chakula kilichopikwa tu na mke wake.
Kulingana na gazeti la Financial Times ni kwamba hili limedhihirika kutoka na upinzani anaokumbana nao.
Lakini hilo halijathibitiswa wala gazeti la Financial Times halijasema ni jinsi gani walipata uvumi huo.

No comments