sanii wa nyimbo za injri TANZANIA laphaeli sangu maarufu kamaKIKOMBE CHA BABU
LAPHAEL SANGU
msanii wa nyimbo za injri TANZANIA laphaeli sangu maarufu kamaKIKOMBE CHA BABU ame funguka leo na sylasdennis.blogspot.com nakuzitaja changamoto amabazo alipita katika wimbo wake wa kikombe cha babu na kwanini aliutunga wimbo huo
KIKOMBE CHA BABU niwimbo ambao unatamba sana hapa nchini nahata inje ya TANZANIA sangu alizungumza na blog hii nakuiambia kuwa alishagazwa sana mwaka 2011 watuwengi wandani ya nchi na wamataaifa mabalimbali kuja tanzania kupata kikombe cha babu wakati yesu ni zaidi ya kikombe cha babu , aliamua kutunga wimbo huo ili watu wajue kuwa mungu ana wenza kuliko hata kikombe hicho ambacho watu walikitegeme lakini leo kikombe cha babu kimepotea na yesu bado anaenderea kuponya maana yeye nijana na reo hata mirere
KIKOMBE CHA BABU alizidi kuifafanulia sylasdennis.bligspot.com kuwa alipata changa moto ambazo kwaakili zake mwenye asingeweza kwani watu mbalimbali walimfata na kumwambia kuwa wewe utafungwa kwani kikombe chababu viongonzi wenge wamekitumia hivyo utafungwa na auto tokajera ,ila nirienderea kumsikiliza roho mtakatifu amabe ananiongoza kwa kila kitu na wimbo wangu unafanya vizuri sana katika meadi mbalimbali hapa nchini
hii picha alipiga na sylasdennis.blogspot.com
amewataka watu wote kumtegemea mungu kwakila jambo
Mungu akubariki karibu mwanza
ReplyDelete