Header Ads

Kura ya maoni Uingereza ni leo Saa 7 zilizopita Mshirikishe mwenzako Image copyrightGETTY Image caption Kura ya maoni Uingereza ni leo Wapiga kura nchini Uingereza wataanza kupiga kura ya kusalia ndani ya muungano wa mataifa ya bara Ulaya au la saa tatu kamili saa za Afrika Mashariki. Watakapofika katika vituo vya kupigia kura wataulizwa swali moja tu kwenye karatasi hizo za kupigia kura. Image copyrightAFP Image caption Watakapofika katika vituo vya kupigia kura wataulizwa swali moja tu kwenye karatasi hizo za kupigia kura. Je Uingereza isalie kwenye muungano wa ulaya au ijiondoe kwenye muungano wa ulaya? Image copyright Image caption Vituo vya kupigia kura hiyo ya maamuzi, vinafunguliwa muda mchache kuanzia sasa. Vituo vya kupigia kura hiyo ya maamuzi, vinafunguliwa muda mchache kuanzia sasa. Zaidi ya watu milioni 46 watashiriki katika zoezi hilo, la upigaji kura ya ndio au la. Mara ya mwisho kwa uingereza kuandaa kura ya maoni kuhusiana na uanachama wake ilikuwa miaka 40 iliyopita wakatyi huo ikijulikana kama European Economic Community.

Kura ya maoni Uingereza ni leo

Image copyrightGETTY
Image captionKura ya maoni Uingereza ni leo
Wapiga kura nchini Uingereza wataanza kupiga kura ya kusalia ndani ya muungano wa mataifa ya bara Ulaya au la saa tatu kamili saa za Afrika Mashariki.
Watakapofika katika vituo vya kupigia kura wataulizwa swali moja tu kwenye karatasi hizo za kupigia kura.
Image copyrightAFP
Image captionWatakapofika katika vituo vya kupigia kura wataulizwa swali moja tu kwenye karatasi hizo za kupigia kura.
Je Uingereza isalie kwenye muungano wa ulaya au ijiondoe kwenye muungano wa ulaya?
Image copyright
Image captionVituo vya kupigia kura hiyo ya maamuzi, vinafunguliwa muda mchache kuanzia sasa.
Vituo vya kupigia kura hiyo ya maamuzi, vinafunguliwa muda mchache kuanzia sasa.
Zaidi ya watu milioni 46 watashiriki katika zoezi hilo, la upigaji kura ya ndio au la.
Mara ya mwisho kwa uingereza kuandaa kura ya maoni kuhusiana na uanachama wake ilikuwa miaka 40 iliyopita wakatyi huo ikijulikana kama European Economic Community.

VIA BBC

No comments