Header Ads

mchugaji awataka wazizi na walezi kuwatunza watoto katika misingi ya kimungu

mchugaji wakanisa la TANZANIA ASSEMBLESS OF GOD T.A.G  ZEFANIA  MTIGI  amewataka wazazi ua walezi kuwalea watoto katika misingi ya wokovu ili watoto wawe na maadili mema

mchungaji wakanisa hilo mtigi ameyasema hayo katika shere za watoto ambayo ilifanyika siku ya jana ambayo aliogea kwa msisitizo kutokana watoto wamekuwa wanakaa nyumba hawaji kwenye ibada na badee kujiingiza katika vikundi vya uwarifu




kwaupande wao watoto hao ambao walifanye shere katika kanisa hilo waliweza kuonyesha vitu mbalimabali ,kusoma biblia/,kuimbisha nyimbo za  kuambudu na kumtegemeza mchunagaji wao huku nyuso zao zikiwa zinz fraha kubwa 


atahivyo watoto hao waliweza kuandaa chakula chapamoja nakula na wazazi wao ili wamtukuze mungu

aidha kwa upande wao wazazi wa watoto hao walionekana nyusoza zenye fraha na wengine kulia kwa fraha kwakuwa watoto wao waliweza kuubili kwa kusoma mitari ya kwenye bibilia hali ambayo wazazi wali mpogeza mwalim wa watoto hao kwani amefanya vizuri kuwafundisha watoto hao


No comments