DAYNA NYANGE AMEFUNGUKA LEO NA KALI ZOTE BLOG KUHUSU UJIO WAKE MPYA
DAYNA YANGE nimsanii wa TANZANIA ambae anatamba kwasasa kwa song AGEJUA leo amefunguka na KALI ZOTE BLOG amesema kuwa mpango wa kutoa albam anao ila kwasasa bado anaagaria soko lipoje maana sikutoa albam tu alafu haiuzi inakuwa hujafanya chochote,
nayeye apendi kufata mkumbo kama wa sanii wengine wa hapa nchini
dayna amezidi kufunguka na KALI ZOTE BLOG kuwa katika wasanii wa kwanza TANZANIA kuwa na denca na yeye yumo kwani alikuwa nao madance 4 jisia ya kuume kwa miaka mitatu
amezitaja changamoto ambazo alikuwa anazipata kutokana na madenca hao sababu ya kwanza upolathi wapendeze madenca kuliko yeye , sare, usafiri, kutengeneza show pia ni changamoto
pia kwakuwa alipotezana nao madenca hao ila anampango wakuwatafuta na kuenderea kufanyanao kazi kwani hawezi kutafuta madance wake wapo
amewataka mashabiki zake kuendera kumpa sapoti kwani kunakitu kinakuja baada ya AGEJUA
wasiliana na sylas denniss kwa namba 0742692079
Post a Comment