tim yatoka sare sare
EXPANDABLE FC
katika atua yamakundi leo mechi ya scudi na expendable imemenyana makali katika viwanja vya bulambila amapo walitoka bao sare sare 1;1
katika kipindi cha kwanza dakika ya 27 peter sai akivalia mgongoni namba 9 alitikisa nyavu ya scudi akuipatia tim yake ya expendable fc gori
mnamo dakika ya 34 saimoni juma aliweza kusawazisha gori na kuifanya tim yake kuwa kirereni kwa poti 9
Post a Comment