MC KOBA APATA MTOTO
msani wa bogo fleva mc komba ambae kwa sasa anatamba na ngoma yake mpya ya zawadi ambayo ilipewa air time yakutosha na faraja fm 91.3 shinyanga katika kipendi cha friday night show ambacho kinaruka kila ijuma nakina endeshwa na watangazaji walio bobea katika kutangza sylas deniis pamoja na stivu kanyefu
leo MIC KOBA amefunguka na KALI BLOG ZOTE nakusema amepata mtoto amabe kwa jina lake anaitwa ETHANI kwa muujibo wa msani MC KOBA
MTOTO HUYO ETHANI huya hapa chini
Post a Comment