KUKOMESHA MAUAJI YA WATU YANAYOENDELEA MKOANI TABORA
MKUU WA WILAYA YA TABORA MWALIMU QEEN MLOZI AMETAKA
VIONGOZI WA DINI KUKEMEA MAUAJI YA WATU YANAYOENDELEA MKOANI TABORA NA
KULIOMBEA AMANI TAIFA
MWALIM MLOZI AMESEMA HAYO JANA KATIKA MAAZIMISHO YA
WIKI YA VIJANA NA UIMBAJI KATIKA KANISA LA MORAVIAN USHIRIKA WA CHEYO
YALIYOFANYIKA BAADA YA IBADA YA JUMAPILI
AMESEMA MKOA WA TABORA NI MOJA MKOA INAYOONGOZA KWA
MAUAJI YA BINADAMU AMBAPO AMEWATAKA VINGOZI WA DINI NWA KRISTO KUTUMIA MAJUKWAA
YAO KUKEMEA UOVU HUO
AIDHA MWALIMU MLOZI AMEWAOMBA VIJANA KUONDOKANA NA
MALALAMIKO NA KUZITUMIA CHANGAMOTO KAMA FULSA ILI KUJILETEA MAENDELEO
mtaa wa mabatini uchafu umekidhili
Post a Comment