Header Ads

Maambukizi ya Ebola yaripotiwa nchini Kongo

Image result for Wizara ya afya katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Wizara ya afya katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imethibitisha kwamba watu wengine sita wameambukizwa ugonjwa wa Ebola wakati ambapo zoezi la kutoa chanjo limeingia katika siku yake ya pili katika juhudi za kuudhibiti ugonjwa huo.

Wahudumu wa afya kadhaa tayari wameshapatiwa chanjo hiyo katika mji wa mkuu wa jimbo la kaskazini magharibi, Mbandaka. 

Wizara ya afya imethibitisha kwamba jumla ya watu 28 wameambukizwa virusi vya Ebola. Mikasa hiyo mipya sita imetokea katika eneo la mashambani la Iboko.


WENYE VITI WA MTAA MARUFUKU KUJIUSICHA NA KUUZA ARIDHI

No comments