Header Ads

walimu wa tabora kuwa watulivu afisa sheria awaomba Samwel Chimanyi

Image result for tabora



Afisa sheria wa wilaya ya Sikonge  mkoa wa tabora Samwel Chimanyi amewaomba
walimu wilayani humo kuwa watulivu katika kipindi hiki cha kesi
inayowakabiri  watuhumiwa kumi waliokuwa
viongozi wa chama cha ushirika wa kuweka na kukopa SACOS wilayani humo

Hatua ya ombi hilo limejili baada ya kusikika taarifa ya
walimu kuchangisha fedha na kuandamana kwenda kwenye ofisi ya waziri mkuu
Khasim Majaliwa kudai upotevu wa kiasi cha Zaidi ya shilingi millioni 370 za
chama hicho



Chimani amewatoa wasiwasi walimu kwa taarifa kuwa kesi hiyo
ilikuwa kwenye uchunguzi wa jeshi la polisi na tayari umekamilika na muda
wowote watuhumiwa watafikishwa mahakamani

JINSI YA KUPATA MKE AU MME

No comments