mtaa wa kanisani kata ya kanyenye mkoani taboraYA VAMIWA
wananchi wa mtaa wa kanisani kata ya kanyenye mkoani tabora waiomba jeshi la polisi la mkoa huo kuboresha ulizi na usalama katika mtaa wao
wananchi wa mtaa huo wakizungumza na KALI ZOTE BLOG wamesema kuwa kwa sasa ulizi na usalama aupo licha ya kuwa mtaa huo upo kalibia na kituo kikuu cha polisi cha mkoa wa tabora
wananchi wa mtaa huo wakizungumza na KALI ZOTE BLOG wamesema kuwa kwa sasa ulizi na usalama aupo licha ya kuwa mtaa huo upo kalibia na kituo kikuu cha polisi cha mkoa wa tabora
ANGALIA HAPA WALICHO KISEMA WANANCHI NA MWENYE KITI WA MTAAHUO
Post a Comment