Header Ads

uchafu kukidheli tabora


Image result for uchafu

wananchi wa kata ya kanyenye mtaa wa kanisani mkoani tabora wanaiomba serikali kuwa saidia kutatua kero ya ubebaji wataka ulio kidhili katika mtaa wao

wakizungumza na redio uhai fm katika mtaa huo wamesema kuwa hali ya ubebaji wa taka katika mtaa wao si mzuri kutokana na wananchi wanatoa fedha lakina bado ubebaji una kuwa hafifu


No comments