TABORA YA WATAKA WATU WENYE VIWANJA KUVITUNZA VIWANJA VYAO
Uongozi wa serikali ya mtaa wa Mabatini kata ya Tamkaleli mkoani Tabora ametaka watu walionunua maeneo ya mtaa huo kufanyia usafi wa mara kwa mara katika maeneo yao.
Akizungumza kupitia kampeni ya mtaa wangu mwenye kiti wa mtaa huo Mukhabedi Juma amesema kuwa kwa sasa wanapata kero kutokana maeno mengi ya mtaa huo kuwa machafu .
Mtembezi wetu Sylas Dennis amefika katika mtaa huo na kufanya mazungumzo maalumu na kiongozi huyo
Post a Comment