Header Ads

kamanda wa jeshi la posi tabora wilbrod mutafungwa aombwa kuwadhibiti askari wa sio kuwa waaminifu


Image result for wilbrod mutafungwa


mwenye kiti wa mtaa wa kanisani kata ya wa kanyenye mkoa wa tabora BENADI MRINGO amemuomba kamanda wa jeshi la polisi  la mkoa huo WILBRODI MUTAFUNGWA kuwapa adhabu askari wasio kuwa wa aminifu

mwanyekiti huyo ameyasema hayo wakati akizungumza na KALI ZOTE BLOG amesema kuwa baadhi ya askari wa jeshi hilo sio wa aminifu kwani unawapa siri ya ualifu baada unaisikia mtaa hali ambayo wanahatalisha maisha yao.


angalia hapa alicho kisema mwenye kiti huyo

No comments