Wasichana watatu wamebakwa na kuteketezwa
Leo May 14, 2018 Taarifa kutoka kwa maafisa wa polisi wa India, zinazasema kwamba chini ya kipindi cha wiki moja, wasichana watatu wenye umri wa chini ya miaka 16, walibakwa na kuteketezwa.
Wasichana wawili walifariki huku yule wa tatu akipona akiwa na majeraha makubwa.
Msichana wa tatu alifariki siku ya Alhamisi baada ya kubakwa na kuwatisha waliombaka kuwa angewaripoti kwa maafisa wa usalama, kabla ya watuhumiwa hao kumteketeza.
Post a Comment