MAJAMBAZI 12 SUGU WA KAMATWA TABORA
Jeshi la polis mkoani Tabora linawashikilia watuhumiwa 29 kutokana na tuhuma mbalimbali zinazowakabili zikiwemo wizi wakutumia siraha imani za kishirikina udokozi pamoja na madawa ya kulevya.
Taarifa ya kamanda wa polis mkoa wa Tabora Willbrod Mtafungwa alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za polisi mkoa amesema kutokana na dolia zinazofanywa na polisi wamefanikiwa kukamata mali mbalimbali zinazodhaaniwa kuwa ni za wizi.
Post a Comment