Header Ads

LITAZINDUA MPANGO MPYA WA TIBA KWA KADI MKOANI TABORA

Image result for AICT MKOANI TABORA

KANISA LA INLAND CHURCH TANZANIA AICT MKOANI TABORA LEO
LITAZINDUA MPANGO MPYA WA TIBA KWA KADI UNAOLENGA KUWASAIDIA WATOTO NA WALEZI
WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU


ZOEZI HILO LITAFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA KANISA KUU LA
UASKOFU DAYOSISI YA TABORA NA AMBAPO MCHUNGA TAMBALU KATIBU WA DAYOSISI YA HIYO
AMEZUNGUMZA NA RADIO UHAI FM NA KUELEZEA KUHUSU HUDUMA HIYO



BEJETI YA  TANZANIA YA MWAKA 2018 HADI 1 2019

No comments