China yatoa msaada wa Mabilioni kwa Tanzania ili kusaidia ujenzi wa reli
Serikali ya China imetoa Msaada wa Sh. Bilioni 146.47 za Kitanzania, madhumuni makubwa ya msaada huo yamelenga kukijenga upya chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kuwa Chuo Kikuu cha Usafirishaji Tanzania ambacho kipo Mabibo jijini Dar es salaam.
Akizungumza na Vyombo vya habari, Katibu Mkuu Wizara ya fedha na Mipango, Bw. Doto James amesema kuwa mara nyingi Serikali wamekuwa wakiiomba serikali ya China iwasaidie kujenga reli ya Kati kwa kiwango cha Standard Gauge, Pia imetoa msaada kusaidia ujenzi wa vipande vya reli vilivyobakia.
WENYE VITI WA MTAA MARUFUKU KUJIUSICHA NA KUUZA ARIDHI
Post a Comment