sylus dennis nikimuoji fid q
sylas denniss nilibonga na faridu kubanda a.k.a fid q amesema kuwa mziki wa hip hop unafanya vizury kuliko mziki wa bongo freva pia amesema kuwa mziki wa hip hop unazushiwa tu kuwa hauuzi kutokana na kuto kuchezwa mara kwa mara redioni na tv .na ameongeza kuwa mtu kutumia madawa ya kurevya ni huruka ya mtu na sio wana hip hop pekee..
Post a Comment