Timu ya taifa ya Tanzania Taifa stars yatoka sare ya kufungana goli 1-1 na Kenya
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa stars yatoka sare ya kufungana goli 1-1 na Kenya katika mchezo wa kirafiki uliochezwa katika mji wa Nairobi nchini Kenya.
Kenya walisawazisha goli hilo katika dakika ya 39 kwa mkwaju wa penati uliopigwa na Victor Wanyama na kupeleka mchezo kwenda mapumiziko kwa sare ya goli 1-1.
Katika kipindi cha pili timu zote zilishambuliana kwa zamu huku kukifanyika mabadiliko kadhaa ya wachezaji kwa kila upande lakini matokeo yalibaki kuwa sare ya goli 1-1.
Post a Comment